Chuo Cha Mzumbe mwenyeji katika Mashindanao ya Enterprenuership Competition
chuo cna mzumbe campus ya morogoro mwenyeji wa mashindano ya
enterprenuership competition mashindano hayo ambayo yanayoshinda nisha
vyuo mbalimbali hapa nchini yana tarajia kuwa na ushindani maana vyuo
vyote vimejianda ili kuibuka mshindi kwenye mashindano hayoambayo
yanafanyika kila mwaka.mashindano hayo yanayoanza kesho katika chuo
cha mzumbe ikiwa leo ni siku ya kuwasili kwa washiliki kwa mujibu wa
mdau wetu mashindano hayo yanatalajia kuwa na ushinda mkubwa ambapo
kila chuo kimetoa mshiriki wenye uwezo wa kuletea sifa katika vyuo vyao.
kila la heri wanachuo katika mashindano hayo.
0 comments