chuo cha TIA campus ya dar es salaam yafanya uchanguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi kesho uchaguzi huo hunahusi nafasi mbalimbali za uongozi ikiwepo nafasi ya raisi,makao wake na mawaziri pia na wajumbe wa kamati mbalimbali ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kampeni ambapo kesho ndio siku yenyewe ya kupiga kura nafasi ya raisi inagomabaniwa na KHIMJI HANIFU, GIFT JENGELA NA AUGUSTION THEDEO wakati nafasi ya makamo inagombaniwa na SAMWELI CHAWANGO,MWASITI KAMWENGA NA MATHIAS LUKALA. kila mgombea ametoa sera zake nini atakifanya akichaguliwa tulijaribu kuaongea na baadhi ya wanafunzi wakasema wao wanasubiria tu hizo ahadi
zitimize maana unakuta wakichaguliwa muda mwengine hawatimizi ahadi au wanashindwa kutetea haki za wanafunzi hayo ni maneno ya baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho maana kila mgombea ameahidi chake kama ndo hivyo tusubirie hiyo kesho nani ataibuka kidedea katika uchaguzi huo
0 comments