Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kufanya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Utamu ndani ya Bongo Record sasa siku ya jana alikuwa akiifanya shooting chini ya Director Adamu Juma Next level ebu check out hapo jinsi walivyotupia swagg pale kati kiukweli walipendeza sana.
UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA DULLY FT OMMY DIMPOZ,DIAMOND "UTAMU" ilikuwa kama Hivi..

0 comments