Open top menu
Thursday, November 1, 2012



MISS Kinondoni 2009, Stella Mbuge amefunguka kuwa ugonjwa wa mpenzi wake Joseph Shamba ‘Vengu’, memba wa Orijino Komedi si sababu ya kumuacha na kuhangaika na wanaume wengine. Akipiga stori na mpekuzi , Stella alisema, anatambua kuugua ni sehemu ya maisha na jambo kubwa kwa sasa ni kumuombea mpenzi wake huyo apone haraka na kuendelea na maisha yao kama kawaida.

“Vengu ana thamani kubwa kwangu, siwezi kumuacha wala kumsaliti. Ndugu zake wananipenda na kunipa ushirikiano mzuri. Nashukuru
anaendelea vizuri na ninaamini siku si nyingi atarudi kazini,” alisema Stella.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments