Hatimaye Wana Mzumbe mwaka wa pili na wa 3, walio na mkopo
kusaini boom la kwanza na la pili kwa pamoja wiki hii” hii ni baada ya
kusubiria mkopo tangia chuo kilipofunguliwa hyo th 22/10 hadi
leo!!!!ndani ya wiki hii 1.1 million kwenye akaunti zao hii ni baada ya
kukaa bila mkopo tokea wafungue habari kutoka kwa mdau wetu alitueleza
wanafunzi hao wa mwaka wa pili na watatu walifurahi sana kutokana na
chucheleweshwa kwa mkopo wao pia walisema wameishi maisha ya tabu sana
mpaka leo wanasaini mkopo yao hongereni sana wana mzumbe kwa uvumilivu
wenu
0 comments