Open top menu
Saturday, December 8, 2012



1.JLO



Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na 
 uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake 
ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile
 makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi 
ya kwanza kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake ameya weka bima ya dola
 milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake
 hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka
 2001. Ambalo ni moja ya magazine iliyoweka histori ya
 rekodi ya gazeti lilouza kuliko. Kiukweli hilo tako
 limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya hapo. 
Matako mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa
 Jlo atatumia kila kitu kulinda tako lake. Lol





Anautajiri wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake
 umetokana , umodel, uigizaji, mwanamke
mfanyabiashara, Television Personality, na socialite. 
Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye
 Tako kubwa Hollywood, nalilionekana sana kwenye
 s*x tape ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend 
wake maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa matako 
yake ni yakutengeza lakini yeye alikataa akasema no
 way its real.

3. Beyonce.



Anamiliki utajiri wa dola milioni $300 milioni. Jinsi gani
 alivyotengeneza utajiri?? Dada huyu anaingiza pesa 
zake kwa kuwa muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi
 Producer, muigizaji, umodel, mvumbuzi wa mavazi,
 na ni mfanyabiashara. Anajiita “b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” .
 Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na matako 
makubwa Hollywood

No.4 Serena Williams



Anautajiri wa dola miliobi $85, nautajiri wake unatokana 
na uchezaji wa Tennis as Professional. Na nimaarufu kwa
 kwa kuwa na tako kubwa kwenye tennis, lakini kutoka
 kwa serena mwnyewe anasema kuna mwanamke 
mwenye matako makubwa kuliko yangu huko nje 
nikisimama nae ni aibu tu.

No.5 Nicki Minaj



Anautajiri wa dola milioni $14 ambao umetokana na 
uandishi wa mistari yake na rapa, mwanadada huyo 
anapenda sana kuongelea kuhusu tako kila wakati, 
 hata kwenye interview iliotokea New York post Nicki 
Minaj alikuwa anaongela kuhusu ruma za utengezaji 
wa matako yake. “absolutely not” said Nicki Minaj 
alipokuwa anaulizwa kuhusu matako ya kutengeneza ,
 “people will pick anything to talk about , and that 
happens to be the thing at the moment’’. Alisema 
Nicki Minaj.
No.6 Vida Guerra




Anautajiri wa dola milioni 2.5 na amazitengeza kupitia
 kazi yake ya umodel. Wakati hajulikani kama 
wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, 
 Nyuma kwa Vida kunamilikiwa na dunia, alishinda
 FHM’s Best B*tt , kwenye the world award na sio 
mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini
 anajivunia kwa kujilikana kwa umbo la mwili wake.
 Kiukweli ameshinda tuzo ya best b*tt mara mbili .

No.7 Nicole “Coco” Austin




Anautajiri wa dola milioni 4 kutokana na umodel, 
reality Tv Personality , web personality. Hakuna was
i wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco Austine
 anajivunia mwili wake sana. Anapenda kupost picha za
 makalio yake sana kwenye Twitter,

No.8 Buffie Carruth



Buffie Carruth vile vile anajulikana kwa jina la Buffie
 The Body or simply Buffie, ni model kutokea Athens,
 Georgia anajulikana kunekana kwenye posing za 
hip hop zinaendana na magazine na kuonekana kwenye 
video za hip hop. Shukuru kwa model kama Buffie The
 Body the Big Booty” comple imefagia Us nzima nao inelekea
 to getting out of control.
No.9 Jessica Biel




Anautajiri wa dola milioni $ 18 , amepatamafanikio
 hayo kwa kuwa muigizaji, model na mwimbaji , anachukua
 nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa wanawak
e maarufu. Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto wakike
 wa muhubiri. Lakini umaarufu wake ulitoke bada yakupiga
 picha ya utupu kwenye Gear Magazine akiwa na umri wa miaka 17.
10. Sofia Vergara




Anamiliki utajiri wa dola milioni 14, na utajiri huo unatokana
 na uigizaji, modeling , mtangazaji wa television na 
mjasiriamali. Ni muigiza wa modern family amefungasha
 kila mahali. Ni mdada mwenye kipaji, mzuri na ana 
makalio mazuri yenye mvuto sana. Ame shikilia namba
 tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable Women
 wa 2011

11.Melyssa Ford



Anamiliki wa dola milioni 2. Na utajiri huo umetokana na
 uigizaji na umodeling , anashikilia nafasi ya 11 kwa 
kubarikiwa na tako nzuri. Kiukweli anajulikana kuwa
 naumbo zuri lenye mbinuko. Ameonyesha anavyotingisha
 matako yake kwenye vido ya Jay-Z, Ghostface killah, na
 Mystikal, anajulikana mwanamke mweusi mzuri sana 
duniani.

No.12 Eva Mendes



Anamiliki utajiri wa dola milioni 12. Ambazo amazitengeza
 kwa kazi zake za uigizaji, model, uimbaji na ububifu. Eva
 Mendes maumbile yake yanaweza kumbadilishi
 shoga kuwa mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa
 dunia baada ya kutoka kwenye Peta akiwa mtupu.
 Kampeni ilifanyika rockeffeller Plaza. Like mamlaka
 ya jiji ili waambia waandaji wasi to mda kamili au sehemu itakapofanyika maana walikuwa wanaogopa kutengeneza
 Mob scene.

No.13 Halle Berry



Anamiliki utajiri wa dola milioni $70 , ambazo zinatokana
 na uigizaji , na ni former model anachukua nafasi ya 13
 kwa kuwa na makalio makubwa holly wood. Na kucheza
 kwake kwenye movie ya swordfish na monster’s ball
 imemfanya halle Berry’s kutikisa Hollywood na kwenye
 orodha yetu anatinngisha pia kwa kuwa na makalio 
makubwa ndani ya Hollywood.
No.14 Scarlett Johansson.




Anautajiri wa dola milioni 35 ambazo amazitengeza
 kutokana na uigizaji wa movie. Anachukua nafasi ya 14 
ya wanawake wenye makalio makubwa Hollywood,
 anamwili wenye mvuto sana kwenye big scree, ana 
anajivunia kuwa nao, na haya ni maneno yake. 
“im curvy-I’m never going to be 5’11 and 120 pounds” “
 but I feel lucky to have what I have got” na tunafurahia
 kumuangalia lol

15. Shakira



Anautajiri wa dola milioni 140 ambazo amaezitengeza
 kwa kuwa mwimbaji, na mtunzi mzuri wa nyimbo na
 record producer. Hakukosea kusema Hips don’t lie
 na hata makalio yake vile never lie. Alichukua nafasi
 ya tatu kwenye Vote poll ya dunia ya best butt. 
Ya mtandao wa WENN.com. shakira alifunika kwenye
 album Laundry Service na kutingisha makalio yake juu y 
http://infosourcestz.wordpress.com
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments