Click
“Join
This Site” uwe MEMBER of FOL CLASSIC
Kwa mujibu wa Avril ambaye ameigiza kama mpenzi wa Diamond kwenye video hiyo, wasanii wengine wakubwa wa Kenya ambao ni Collo na Mustapha wataonekana pia.
Amesema track hiyo ikitoka itafanya vizuri kutokana na kuwa na style ya kuchezeka zaidi kwenye club na kwamba imerekodiwa kwenye studio za Ogopa.
Video hiyo inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu.
Wakati huo kupitia website yake, Diamond ameweka picha nyingine akiwa na Avril na kuandika, “Mapenzi ni raha na matamu sana pindi umpendae kwa dhati akikupenda kama ufanyavyo….ila dah! yanauma sana when you found out that, de wan you love is in love wit some one Else…….Chunga sana uskurupuke kuchagua, Utakujajuta.”
0 comments