Zari ni msanii wa nchini Uganda ambaye pia ni mfanyabiashara aliyefanikiwa kinoma. Taja aina ya magari yote makali na ya
kifahari uyajuayo, Zari alishawahi kumiliki. Leo Kupitia Twitter msanii huyo mrembo aliyejipa jina la The Boss Lady amepost picha hii na kuiandikia: Boxing day chillaxin in ma clk500!!
0 comments