Open top menu
Tuesday, January 8, 2013


DSC_0540Jana Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner G Habash walianza safari yao ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia njia ya Marangu.Safari hiyo ya siku sita inaongozwa na kampuni ‘Kilidove Tours and Safaris Ltd’ ya Arusha.
Wengine wanaoongozana nao ni mpiga picha wake Justin Bayo.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Lady Jaydee akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA Erastus Lufungilo kabla ya kuanza safari.
Lady Jaydee akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA Erastus Lufungilo kabla ya kuanza safari.
Lady akiwa kweye ofisi ya Mhifadhi mkuu wa KINAPA
Lady akiwa kweye ofisi ya Mhifadhi
 mkuu wa KINAPA
Wakijiandaa na safari
Wakijiandaa na safari
DSC_0550
Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner
Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner
Jide na mpiga picha wake
Jide na mpiga picha wake
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments