Mike
Sonko Mbunge wa Makadara Nchini Kenya mwenye Muonekano tofauti na
viongozi wengine alionekana na style tofauti ya nywele kichwani wiki
iliyopita.Style hii ya Mini-Mohawk iliandikwa Peace yani Amani. Ni
rafiki wa karibu sana wa msanii Jaguar.
Unasemaje kuhusu hili? Andika maoni yako hapo chini. Monday, January 7, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)