Mkongwe
huyo wa muziki wa bongofleva akiwa na familia yake,kutoka kuli ni mama
wa familia hiyo Asha Msindi,anayefuatia ni baba wa familia hiyo Seleman
Msindi .a.k.a dume la simba,aliyempakata ni mtoto wake mdogo anayeitwa
Asante sana[miezi 9] na wa mwishoni Tunda[10].mtandao huu unampango wa
kufanya mahojiano na Afande Sele pamoja na Mama Tunda kwa lengo la
kutaka kujua ni sababu zipi lilizosababsiha Tunda na mdogo wake wapisha
kwa umri wa miaka 10
Mtandao
huu baada ya kupiga picha kadhaa wakati Afande Sele alipotembelewa na
ugeni huo mzito wa Wema Sepetu,baadae mdaku wa Mtandao huu alipekuwa
chumba cha Afande Sele na kukuta picha kubwa ya mnyama simba mwenye sura
ya Afande Sele ikiwa imecholwa kwenye ukuta wa chumba chake,ambapo
baadae Afande Sele alimtaka mpiga picha wa Mtandao huu kupiga picha na
Simba huyu mwenye mfano wa Sura yake
Wednesday, January 9, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments