Open top menu
Wednesday, January 16, 2013


 Mpenzi wa Kanye West, Kim Kardashian anatarajia kujifungua mwezi wa Saba mwaka Huu. Kupitia Mahojiano na kipindi kimoja cha Televisheni nchini Marekani Kim akiwa dada yake Kourtney amesema kuwa anafurahi tarehe yake ya kujifungua kuangukia mwezi huo kwani ni sawa na mwezi ambao Kourtney alijifungua, mbali na haya ni mwezi ambao ambao Prince William na Mkewe
wanatarajia kupata mtoto. "Vitu hivi huwa havipangwi, ni Bahati tu, Na kuhusu ndoa sipendi kulizungumzi kwa sasa kwani tumeweka nguvu zetu katika ujauzito tu" Ameeleza.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments