Open top menu
Thursday, January 10, 2013

 Ni habari toka hukoMarekani ambapo mwanadada Naomi  Thriepland (25) amekamwatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania Billioni 2.14. Madawa hayo yalikamatwa katika gari alilokuwa akiendesha mrembo huyo kuelekea Amsterdam. Ndani ya Gari alikuwa na binti yake wa miaka 7 ambaye alimfanya kama chambo kwani alipata kuwadanganya maaskari kwamba alikuwa anampeleka mwana huyo Disney Land Kutembea.


 
 Akisomewa mashtaka hayo, hakimu amesema hakutegemea kwa mtu aliyepitia mafunzo kama yake kufanya kitendo kama hicho na amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 4 jela. Hivyo basi Naomi ambaye ni mjamzito wa miezi 4 atajifungua mtoto wake wa pili akiwa gerezani.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments