Open top menu
Tuesday, January 1, 2013


Kwa mujibu wa Youtube baadhi ya wasanii wa kubwa wa mziki wa pop wamekuwa wakipata namba kubwa za watazamaji wa kazi zao kupitia mtandao mkubwa wa Utube, kitu ambacho ni kawaida mpaka inapojulikana kuwa baadhi ya watazamaji hao ni feki. Mpaka sasa haijajulikana ni msanii au lebel ya msanii ndio wanahusika na utapeli huu wa utube ila utube imesema kumekuwa na watu wanafanya kazi ya kuongeza namba ya watu walio tazama kazi za wasanii hao. Mfano, Kama Video imetazamwa mara 2000 ,basi mtu huyo ataongeza watu 7000 kwenye namba hio ili msanii huyo apate soko zaidi sababu itaonekana anakubalika zaidi.

Utube imefuta watazamaji feki Billion 2 kutoka kwenye kazi za wasanii kama Rihanna, Justin Bieber na wasanii wengine wa Universal Music label wamepoteza watazamaji Bililion 1. Rita Ora, Alicia Keys, Labrinth na wasanii wengine chini ya Sony Music label wamepoteza watazamaji Million 850. Michael Jackson nae pia amepoteza watazamaji million 287na Beyonce amepoteza watazamaji million 151

Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments