

Mashabiki wa Simba walivamia basi la wachezaji wa timu hiyo na kuanza kuimba kuwa wanamtaka Emanuel Okwi.
Aidha, mashabiki
hao walipokuwa wakihojiwa na moja ya redio ya jijini Arusha, walisema
Simba ni mali ya Rage na familia yake na sio ya wana Simba.
Mashabiki
wa Simba wamekerwa na sare ya 1-1 dhdi ya Ojoro katika mchezo ulichezwa
kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwa ni sare yao ya pili tangu
mzunguko wa pili wa Ligi kuu uanze.

0 comments