Mwanamuziki Alicia Keys wikiendi iliyopita alitua Kusini mwa Ufaransa
kwa ajili ya kuhudhuria tuzo za muziki za NRJ.
Mwanadada huyo alikuwa
ametokelezea katika vazi la gauni lililobuniwa na Michael Kors na
aliongozana na mume wake Swizz BeatzMonday, January 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments