Cloud 112 moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri katika upande wa Bongo movie hapa Tzee. Muigizaji huyu baada ya kutamba na movie kama “Maisha“,”Penzi la Giza“ na “Tripple L” siku
ya leo tumeweza kupata kwamba kwasasa ameshamaliza movie yake mpya
katika upande wa uandaji na soon anatarajia kutoa movie hiyo.
Movie hiyo mpya Cloud ameifanya chini ya kampuni yake kwa jina la “CY & CL” itaitwa “Sangata”
ambayo ameeleza mambo mengi muhimu ambao yanaelimisha jamii moja kwa
moja kama maswala la mapenzi, chuki, Hasira na vitu vingine vingi.
Akiwa kama Producer na Director wa movie hiyo Cloud anasema ametumia takribani Million 20 za Kitanzania kukamilisha movie hiyo na mashabiki wake mkae tayari kuipokea soon itakapo ingia sokoni.
0 comments