Wakati ambapo wimbo wa Flavour wa Nigeria uliohit mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu ukiwa umepotea kidogo kwenye playlist za radio na TV, mwanadada Keri Hilson wa Marekani ndio kwanza wimbo huo unampa mzuka. Kupitia Twitter jana mrembo huyo ameusifia wimbo huo.
Hiki Ndicho alichokisema Keri Hilson Kuhusu mwimbo wa Ashawo(sawasawa lee) wa Mr Flavor

0 comments