Kwa mara ya kwanza Tanzania. Ni wimboDVD, inayoungaunisha
hisia za mwana hip hop NIKKI WA PILI na msikilizaji katika namna ya mawasiliano
ya moja kwa moja, zao la wimbo bum kubam, uzalishaji,simulizi, video, mawazo ya
wengine, mitindo huru. story ya wimbo katika vitendo na namna wimbo unavyoishi
katika maisha yetu ya kila siku. Ni RAP, Ni Hip Hop, Ni Ukweli mtupu.Hii ni ya
kwanza kutokea Tanzania...Itakua mtaani hivi karibun...
Monday, October 29, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments