Hii ni picha inayomuonesha mtu anayedaiwa kuwa ni mwanamuziki wa
R&B Trey Songz (kulia) akimbusu mwanaume mwenzie. Picha hiyo ambayo
bado haijathibitishwa kama ni kweli ama imefanyiwa photoshop, imewafanya
watu
waamini kuwa Trey ambaye ni kipenzi cha akinadada aonekane kama
shoga. Tunashindwa kuamini picha hii kwakuwa hata kama kweli ni shoga ni
ngumu kwa Trey kupigwa picha ya aina hii. Tunasubiri yeye mwenyewe
aongee.
Thursday, December 27, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments