Open top menu
Thursday, January 3, 2013

Msanii kutoka kundi la Weusi maarufu kama Bonta leo ameamua kuweka wazi siku ya kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Maktaba ambayo amefanya na director Nisher kutoka Arusha,sasa kama ulimiss kuona behind the scene ya video hiyo basi huu ni wakati wako wa kuangalia hizi picha za utengenezaji wa video hiyo mpya Maktaba ambayo anatarajia kuachia tarehe 13 mwezi huu.






Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments