Open top menu
Wednesday, January 9, 2013



 
Nina uhakika utakua unaikumbuka ile stori ya mwimbaji wa bongofleva Stara Thomas kutangaza kuokoka na kuachana kabisa na muziki wa bongofleva, badala yake atakua anafanya gospel.

Japokua alitangaza kuwepo kwenye gospel rasmi baada ya kuokoka, Stara aliwahi kuweka wazi kwamba wasanii wa gospel hawana upendo na umoja, yani ni afadhali wasanii wa bongofleva mara mia manake amelishuhudia hilo kwa macho yake na wala sio kuhadithiwa.



Sasa ukweli nikwamba Mwimbaji huyu mkali wa voco ambae natamani angefanya na kazi ya utangazaji wa radio pia, amefanya kolabo na mwimbaji Linex wa bongofleva....


Alichosema Linex ni kwamba wimbo huo wa bongo fleva umeshakamilika na kinachosubiriwa ni taratibu zilizopangwa za kuuachia, na kwa mujibu wa Linex ni kwamba Stara Thomas mwenyewe ndio alimpigia ili wairekodi hiyo kolabo ya bongof

Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

No related article available

0 comments