Muigizazi wa Bongo Movie Amanda Poshy akiwa na Mpenzi wake Bwana Misosi.
Amanda akiongea na wadau wake katika wall yake ya Facebook siku ya jana "maneno yake haya ...Kiukweli nasema kutoka moyoni na inawezekana
nikaonekana kama chizi lkn Nampenda sana bby wng tena kuliko maelezo na
nina uhakika yy pia ananipenda.....namuomba Mungu atuvushe kipindi hiki
tulichokuwepo ili tufikie malengo.....Mungu tusimamie tuje kuwa mfano wa
kuigwa na watu wengine.......nawashukuru sana kwa wale wote waliokaribu
na sisi na muendelee na moyo huo huo........Mungu tusaidie..."
Amanda Poshy akiwa katika muonekano mpya kwa mwaka 2013.
0 comments