Mtandao wa Ghafla Kenya uliripoti siku kadhaa zilizopita kwamba video ya P Unit na Collo – ‘U guy’ imefungiwa na kituo maarufu cha TV nchini Kenya (Citizen) kutokana na kuwa na picha
zinazochochea ngono na ambazo hazifai kwa kituo kama hicho, huyu ndio mrembo ambae inaaminika amesababisha hiyo video kufungiwa.
0 comments