Open top menu
Friday, January 18, 2013

Musleh Rawah akimkabidhi jezi ya timu ya simba Mdhamini wao wa safari hiyo, Bi. Rahma Al Kharusi
 Kocha wa makipa wa taifa ya Oman, Haroun Amur alimkabidhi Rahma jezi ya timu ya Taifa ya Oman.
 Walikula pamoja na baadaye bendi maalum kutoka Tanzania iliwapigia muziki na wakaserebuka pamoja huku Rahma akimwaga noti kama maji.
Wachezaji wakipakua  Msosi ulishushwa wa kutosha
Usiku wa kuamkia jana Timu ya Simba iliyoko Oman kwa kambi maalum ya mazoezi waliapata mualiko wa chakula cha jioni nyumbani kwa Mdhamini wao wa safari hiyo, Bi. Rahma Al Kharusi katika makazi yake yalipo eneo la Al Kheri jijini Muscat, Oman na wachezaji pamoja na viongozi kula bata na kupta burudani ya muziki wa nyumbani.



Viongozi wa Simba walimkabidhi mdhamini huyo Jezi za Simba kama ishara ya kutambua mchango wake. Rahma alikabidhiwa jezi hiyo na Musleh Rawah.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments